Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mange Kimambi Afunguka Kuhusu Jack Cliff Kutoka Jela "Kama Navyomuona Jux Anavyomsalandia Wafanye Kiki ya Kufa Mtu"


Ameandika Mange Kimambi :

"Welcome home baby doll.

Maisha ni kupanda na kushuka. Uliteleza kidogo now fix your crown queen.

Najua utalingisha jiji upyaaaaa like you never left 😃.
Jamani maslay queen kaeni chini the Original slay queen is baaack.

Kama namuona Juma anavyomsalandia wafanye kiki ya kufa mtu….LOL

I hope she will make better choices in men this time around" Mange

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments