Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mange Kimambi Ampongeza Rayvanny "Unastahili Pongezi ila Kaka Yako Akahakikisha Spotlight Inatoka Kwako Kwa Kuamsha Ugomvi na Harmonize"


Hongera sana RayVanny. This was konki fire moto. Hata sisi haters inabidi tukubali japo kishingo upande­čśů

Mwanzo nilivyousikia huu wimbo sikuupenda maana I thought ni wako umefanya remix, kumbe ni Vice versa.

Hongera sana na sana.

Ila kaka yako kahakikisha kahamisha spotlight imetoka kwako imeenda kwenye ugomvi wake na Harmonize. Yani alishindwa tu kukusifia akaishia hapo. This is a historic moment in your career na ilitakiwa spotlight ibaki kwako tu.

Anyways mi dadako nimeona nikupongeze kwanza kwenye posti yako ya peke yako then ndo niongelee hayo mengine.

Niliposti video ila Instagram wakaiblock nchi zoote wanadai ni copyright ya kampuni gani sijui. So ndo maana nimeweka picha tu.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments