Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mange Kimambi "Huyu Briana DEMU wa Harmonize Hajatulia,

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREAmeandika Mangekimambi_ 
"Huyu Briana nshamsoma, hajatulia. Huyu anakuja kutuvuruga kama Zari alivyotuvurugaga kipindi wanaanza project na Dai. Nawaambieni mimi, nshamuona huyu ni dizaini ya Bi Tukinao 100% tena kushinda Bi TukinaoYani huyu anakuja kutukosesha amani kwenye nchi yetu wenyewe. Yani inabidi tujue jinsi tutadili nae ili asije kutuumiza vichwa. 

Alafu ako na mshepu wa kiswahili. Her body is Fire meeein." Mange

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments