Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Matumaini ya Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia YazimikaSafari ya #TaifaStars kuwania kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia 2022 imekatika baada ya Benin kuifunga Madagascar goli 2-0 na Stars kufungwa na DR Congo goli 3-0

Timu moja katika kila Kundi itasonga mbele katika hatua inayofuata kuwania kufuzu Kombe la Dunia na sasa Kundi J linaongozwa na Benin yenye alama 10 ikifuatiwa na DR Congo yenye alama 8


Stars ipo nafasi ya 3 ikiwa na alama 7 na Madagascar ipo mkiani ikiwa na alama 3. Michezo ya mwisho ni DR Congo dhidi ya Benin na Taifa Stars dhidi ya Madagascar


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments