Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mbunge Aangua Kilio Bungeni
Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amesimama bungeni na kutoa hoja bunge lijadili kuhusu suala la wananchi sita jimboni kwake kuuawa kikatili akiwemo binamu yake na watu aliodai walijitambulisha wao ni maafisa usalama (ni watu wa madini). “Watu sita wameuawa Jimboni kwangu akiwemo ndugu yangu…” amesema Maganga.

Baada ya malalamiko hayo Spika wa Bunge, Job Ndugai amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kukutana na mbunge aliyetoa malalamiko ili kulishughulikia jambo hilo.


 


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments