Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mbunge Kimei Awashukia Wachaga "Wachaga Wanapenda Magendo Sana"Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Majimbo yaliyo mpakani mwa nchi yana changamoto ya magendo

Ametaka Wizara ya Mambo ya Ndani itoe kauli inachukua hatua gani kwa kuwa Wachaga (ambao pia wako mipakani) wanapenda magendo

Dkt. Kimei amesema Jimbo la Vunjo limekithiri kwa unywaji wa gongo, utumiaji wa mirungi na bangi kutokana na watu wengi kukosa ajira

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments