Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mesuit Ozil Hana Raha Fenerbahce, Rais wa Timu AmuonyaRais wa Fenerbahce, Ali Koc amemwambia Mesuit Ozil awaze zaidi mpira kuliko biashara iwapo anataka kucheza zaidi

Haya yanakuja baada ya Ozil kutokuwa na furaha klabuni hapo baada ya Kocha kumweka bench mechi nyingi

Ijapo ndie anaongoza kwa mabao kwa msimu huu ila hali ya klabu sio nzuri sana

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments