Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mkono wa Diamond Platnumz ni Zaidi ya Milion Mia SitaKupitia ukurasa wake wa Instagram, msanii @diamondplatnumz ameweka wazi kuwa madini aliyovaa vidoleni yana thamani ya zaidi ya milioni 230M Tsh huku yaliyo mkononi yakiwa na thamani ya milioni 407M Tsh.

Hapa Aristoste anashindwa abaki na nani kati ya Vunja Bei na Diamond­čśé.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments