Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mkuu wa Magereza Aliyefutwa Kazi na Rais Akamatwa Kenya


Kamishna Mkuu wa Magereza ya Kenya Wycliffe Ogalo na Mkuu wa Gereza la Kamiti Charles Mutembei wamekamatwa na maafisa wa upelelezi wa DCI. vinaripoti vymbo vya habari nchini Kenya.

Kukamatwa kwa wawili hao kunakuja muda mfupi baada ya Rais Uhuru Kenyatta kubatilisha uteuzi wa Ogalo kama Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini Kenya.

Nafasi yake ilichukuliwa na Brigedia mstaafu John Warioba ambaye aliapishwa mara moja.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments