Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mkuu wa Wilaya ya Moshi Awataka Watendaji wa Serikali Wasiochanja Wajieleze

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMkuu wa Wilaya ya Moshi, Said Mtanda ametoa maagizo kwa Watendaji wa Serikali kuhakikisha 60% ya Watumishi wamechanja Chanjo ya #COVID19 na wasiochanja waeleze sababu

Amesema ni vigumu kwa Mtumishi wa Afya ambaye hajachanja kumpokea Mgonjwa ambaye amechanja kwa kuwa anaweza kuwa sehemu ya kuambukiza wengine

Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>


Manispaa ya Moshi imepata Dozi 4,770 za #Sinopharm huku ikiwa imetoa 11% ya Johnson & Johnson walizopokea awali ambapo Watu 2,000 wamechanja katika Dozi 18,000 zilizopokelewa


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments