Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Moodewji Afunguka Mkakati Wake wa Kibiashara

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mkakati wangu kibiashara: Kuwa na uwezo wa ununuzi kwa watumiaji. Kuanzia muda unapoamka asubuhi, mpaka muda utakapo kuwa unalala usiku, bidhaa zangu zitagusa kila hatua ya maisha yako.

Wakati wa asubuhi, kuna sabuni, chai, sukari, unga wa mahindi, vinywaji vya kaboni, maji; katika usafiri kuna baiskeli, kuna pikipiki, bajaj, kuna mavazi, n.k.

My business strategy: harness the purchasing power of consumers. From the time you wake up in the morning, to the time you sleep, my products will touch your life every step of the way.

 Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>In the morning, there is soap, tea, sugar, maize flour, carbonated drinks, water; for transport, there’s the bicycle, there’s a motorcycle, the bjaj, there’s garments etc.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments