Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mtangazaji kutoka Wasafi FM Afunguka Kuhusu Kutoka Kimapenzi na Patrick Kanumba


Mtangazaji kutoka Wasafi FM @divatheebawse ameeleza kuchukizwa na kukasirishwa na taarifa za yeye kutoka kimapenzi na muigizaji #OthumanNjaidi maarufu kama @patrickikanumba

Akitumia ukurasa wake wa Instagram Diva ameShare video yenye ujumbe mrefu, akieleza kukasirishwa na uvumi huo kwa kusema kuwa hana mazoea yoyote na muigizaji huyo,huku akieleza kuwa yeye ana umri mkubwa kumzidi na pia ni mke wa mtu haitaji matatizo.

Mbali na hilo pia mtangazaji huyo wa kipindi cha #lavidavi amesema kuwa hatokuwa na utani kabisa na Page yoyote ya umbea itayoendelea kusambaza uongo kuhusu taarifa hizo kwani ata report TCRA.

✍🏾@keviiiy.iam


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments