Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mtoto Aliyezama Baharini AnatafutwaAwadhi Hassan Omary Matondo (pichani) mwenye umri wa miaka 17 mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Mizimbini Kibada Kigamboni amepotea na hajulikani alipo baada ya kuzama baharini alipokuwa akiogelea na wenzake South Beach Kigamboni.

Awadhi Hassan Omary Matondo.
Siku ya Novemba 06 mwaka huu, huko South Beach Kigamboni, Awadhi na wenzake watano walikuwa wakiogelea kwa bahati mbaya walizama, mmoja wao alijiokoa mwenyewe, watatu waliokolewa lakini mmoja wapo alikuwa tayari amefariki dunia, wawili kati yao wanaendelea vizuri.

Awadhi mpaka leo Novemba 08 mwaka huu bado hajapatikana wala mwili wake kuopolewa.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments