Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mtoto wa Miaka 6 Ajipinga Risasi GeitaMtoto wa miaka sita Eric Joshua Mkandi mkazi wa kitongoji cha Mkapa kijiji cha Izumangabo kata ya Bwanga, mwanafunzi wa darasa la kwanza shule ya msingi Izumangabo amefariki kwa kujipiga risasi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema mtoto Eric amefariki wakati anapatiwa matibabu katika hospital ya Bwanga baada ya kujipiga risasi kwa silaha aina ya Pistol Beretta inayomilikiwa na baba yake kwenye paji la uso na kutokea kisogoni akiwa ndani ya chumba cha baba yake mzazi aitwaye Joshua Mkandi.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments