Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Muna Love Ataka Watu Wafute Picha zake za Zamani "Sitaki Kujiona Nilivyokuwa zamani" "


Mwanadada mfanya biashara na muigizaji kutoka BongoMovie @munalove100 amewataka watu kufuta picha zake za miaka ya nyuma/zamani kwani hataki kujiona alivyokua hapo zamani kwa maana ya muonekano .

Muna Love" ameeleza hayo kupitia insta story yake akiwa nchini uturuki kwaajili kufanya surgery/upasuaji, kurekebisha sehemu mbalimbali za mwili wake, hivyo huenda muonekano wake ukabadilika kabisa kiasi cha kutotaka kuona picha za muonekano wake wa zamani.

✍🏾@keviiiy.iam


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments