Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Muna Love Awapa Vidoge Wanaomuiga Kufanya Operations "Jueni Kuna Kupona au Kupata Tatizo"


Muigizaji na mfanya biashara @munalove100 ametoa Onyo kwa watu wote haswa watanzania ambao wanataka kwenda kufanya upasuaji/surgery kama ambavyo yeye amefanya.

Kupitia insta story yake #MunaLove ameeleza kuwa kuna watu wamekua wakikimbilia kufanya hivyo wakidhani ni jambo rahisi, na kutahadhariisha kuwa kuna mambo mawili katika kujaribu kufanya upasuaji, kupona ama kupata tatizo.

Utakumbuka hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la mastaa kutoka Tanzania ,kutangaza kwenda kufanya upasuaji/surgery nchini uturuki, kurekebisha & kutengeneza sehemu mbalimbali za miili yao.

✍🏾@keviiiy.iam


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments