Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mwanafunzi Aliwa na Mamba Akiogelea
MWANZA: Mwanafunzi wa darasa la nne Shule ya Msingi Nyakasasa, aitwaye Ntogoso Gunya (12) amefariki dunia baada ya kuliwa na mamba wakati akioga kando ya Ziwa Victoria.
 
Tukio hilo limetokea jana Jumatano, Novemba 10, 2021 saa 11 jioni na kuthibitishwa na mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga.
 
Juhudi za kuutafuta mwili wa merehemu zilianza jana ambapo leo asubuhi wamefanikiwa kupata kichwa pekee huku kiwiliwili na sehemu zingine za mwili wa mwanafunzi huyo zikiwa zimeliwa.
…………Kwa updates zaidi, endelea kufuatilia mitandao yetu………

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments