Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mwanamuziki Beka Flavor Apata Ajali Mbaya ya Gari


Msanii @bekaflavour1 Anamshukuru Mungu Kwa Kumtoa Salama Kwenye Ajali Ambayo Ameipata Usiku Wa Kuamkia Leo Ambapo Kwa Mujibu Wake Amesema Kuwa Hajui Ni Nini Kilichotokea.
-
-
Kupitia IG Yake #BEKA Amepost Na Kuandika.............''Wakati natoka studio usiku huu nimepata kaajari cha ajabu sana yani ata sijui ilikuakuaje gafla tu nimejikuta hapo kikubwa nimetoka mzima kabisa 🙏🙏 Mungu Mkubwa sanaaaaa 🙏🙏🙏🙏🙏''

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments