Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mwijaku Atoa Boko Lingine "Simtambui TENA Vunja Bei, Vikao vya Harusi ya Mobetto Vinaendelea ila Muoaji ni Rick Ross"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mwijaku amedai yeye ni kaka mtu,na anaangalia moyo wa dada yake unamtaka nani, hivyo licha ya kusema kuna vikao vya harusi vinaendelea kati ya Hamisa Mobetto na @fred_vunjabei ,kama kaka anatoa tamko kuwa vikao hivyo vitaendelea ila kwaajili ya harusi ya @richforever (Rick Ross) na Hamisa Mobetto.

Akiwa kwenye Leo Tena ya Clouds Fm, Mwijaku amedai, kwanza Rick Ross ni msanii mkubwa, ni maarufu na ana pesa sana,na kwa mujibu wa Hamisa ni kuwa Rick Ross anajua kujali hivyo kama kaka amepitisha Mobetto kuwa na Rick Ross😁

Sema Mwijaku,tunamgawa Kenya

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments