Ticker

6/recent/ticker-posts


 

“Nendeni Mkasali Kwenye Taasisi zinazoeleweka Ukiibiwa Kwa Manabii Hakuna Sheria Inayowabana” Simbachawene

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ametoa taarifa ya mafanikio na mwelekeo wa Wizara hiyo ndani ya miaka 60 ya Uhuru ambapo amezungumzia pia kuhusu usajili wa nyumba za ibada.

“Hatuna sheria inayodhibiti Mitume na Manabii kwa maana Mtu mmoja anatoa huduma kwahiyo huyo anaeitwa Mtume ni Mtu mmoja haliitwi Kanisa sisi kwa mujibu wa sheria za nchi ni mpaka inapokuwa jumuiya yenye Watu kadhaa likikukuta usije kutulalamikia”

“Unakuta Mtu amepata matatizo sana kuna Watu wameibiwa unashangaa watu wamedhulumiwa magari, majumba na pesa Benki, hakuna sheria ya kumkamata, nendeni mkasali kwenye taasisi zinazoeleweka” ——— Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Simbachawene

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments