Pole Pole Amjibu Nape Nauye "Kwani Nimemtaja Mtu au Ndio Wahuni Wenyewe"
0Udaku SpecialNovember 28, 2021
"Juzi nimesema kuhusu wahuni tena nikafafanua wahuni ni wakwepa kodi,wapiga dili,wala rushwa,sasa kuna watu wananichukia kwani nimemtaja mtu? au ndio wahuni wenyewe!" amesema Humphrey Polepole