Ticker

6/recent/ticker-posts

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. Samia Suluhu amemteua Dkt. Nicolaus Herman Shombe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC).

Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Shombe alikuwa Kamishna wa Mipango, Wizara ya Fedha na Mipango. Dkt. Shombe anachukua nafasi ya Prof. Damian Gambagambi ambaye amefariki


Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments