Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Rais wa Zanzibar ampa zawadi Sanjay Dutt

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Kasha Mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo Novemba 9, 2021. akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu]


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments