Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Rayvanny Aweka Rekodi, Awa Mwafrika wa Kwanza Kuperform tuzo za MTV Emma


Usiku wa jana Taifa linasherehekea rekodi nyingine iliyowekwa na Kijana wa Kitanzania kutumbuiza juu ya moja ya majukwaa makubwa ya burudani duniani, ni yuleyule Mkali toka WCB, President wa NLM..... Chui a.k.a Rayvanny ambaye ametumbuiza kwenye Tuzo kubwa Ulaya za MTV EMMA 2021.

Vannyboy ame-perform “tetema' na Staa wa Colombia aitwae Maluma kwenye usiku wa utoaji wa tuzo za MT EMA 2021 kwenye Mji wa Budapest Hungary ambazo baadhi ya walioshinda Tuzo hizo ni pamoja na Nicki Minaj na Wizkid.

Kwa heshima na taadhima kwenye hizi Nyota tano mabegani mwa @Rayvanny , mdondoshee emoji zake 5 za nguvu utazozichagua wewe kuona anastahili....

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments