Shamsa Ford Afunguka "Mwanaume Akinitongoza Kinachofuata ni Kumuomba Hela Mambo ya Baby Umeamkaje Sitaki"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mwanamama kunako Bongo Movies, Shamsa Ford ametoa kali ya mwaka baada ya kudai kwamba inapotokea akatongozwa saa mbili asubuhi, basi kinachofuata saa tatu kasoro ni kuomba.
Shamsa anasema anafanya hivyo ili kumuona kama mwanaume huyo yupo siriaz au ni mtu wa aina gani.

Anasema kila mwanamke anataka mwanaume wa kumhakikishia maisha ili inapotokea akawa na tatizo f’lani, basi awe na uhakika wa kumsaidia na mambo ya umeamkaje, umevaaje au umekula kwa upande wake hayana nafasi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. na wewe huwa unakubali kulala na mwanaume huyo baada ya muda gani au akisha kupa fedha basi na wewe unampa apple?

    ReplyDelete

Top Post Ad