Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Simba Yaibuka na Ushindi wa 3-1 Dhidi ya Ruvu Shooting..Wainyemelea Yanga
KIKOSI cha Simba kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Simba wamefikisha pointi 14 nyuma ya Yanga yenye pointi 15.

Mabao ya Meddie Kagere dakika ya 17 na 36 na Kibu Dennis ilipachika bao dk 44.

Ruvu Shooting ni Shaban Msala alipachika bao dk 70

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments