Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Somalia : Mahakama ya kijeshi yawahukumu kifo wanajeshi wawili wa Uganda

Wanajeshi wawili wa Jeshi la Ulinzi la Uganda (UPDF) wanaohudumu kwenye tume ya kulinda amani ya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) wamehukumiwa kifo na wengine watatu wamehukumiwa kifungo cha miaka 39 jela kutokana na vifo vya raia.

 Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>

Post a Comment

0 Comments