Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Taifa Star Madigasccar Hakuna Mbabe, Congo Wafuzu


Mechi za mwisho Kundi J kuwania kufuzu fainali za kombe la Dunia 2022 zimemalizika.

Tanzania imefikisha pointi 8 nafasi ya 3. DRC wamefuzu kwa kufikisha pointi 11 baada ya leo kuifunga Benin yenye pointi 10 magoli 2-0.

•FT' Madagascar 🇲🇬1-1 🇹🇿Tanzania
Msuva 24'⚽
Abdallah 74'⚽

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments