Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Tanasha Akwaa Skendo Nzito

MADAI mazito ambayo yanaendelea kwenye mitandao ya kijamii yanadai kwamba, baby mama wa Diamond Platnumz, Tanasha Donna amekwaa skendo nzito na kuna hatari akaburuzwa kortini.

 

Kutoka nchini Kenya inadaiwa kwamba, Tanasha aliunganishwa na mrembo aitwaye Risper wa Kenya kwenye kampuni moja ya kutengeneza shepu ambapo baada ya kutengenezwa, malipo yake yalipaswa kuwa ni kuwatangaza,
lakini baada ya kupata shepu matata aliyonayo kwa sasa ambayo ni hatari na nusu, anadaiwa kuingia mitini.

 

Skendo hiyo inafanana na ile ya Wema Sepetu ambaye alidaiwa kufanyiwa sajari na kuondoa ule unene ili aitangaze kampuni hiyo, lakini ikasemekana aliingia mitindi.Hicho ndicho klinadaiwa kutokea kwa Tanasha na kuchafua mitandao mingi nchini humo.

Hata hivyo, mwenyewe Tanasha anajitetea kwamba, huo ni uongo na kuna watu ni mahiri wa kutengeneza uongo pale wanapoona wamekushindwa.Tanasha Donna amekwaa skendo nzito


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments