Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Treni ya Umeme Kutumia Umeme Wake sio Unaokatika

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Meneja Mradi wa Treni ya SGR Mhandisi Machibya Masanja, amesema kuwa Treni ya umeme itakapoanza haitatumia umeme huu wa kawaida unaokatika mara kwa mara, bali inajengewa mtandao wa umeme unaojitegemea

Kauli hiyo ameitoa hii leo Novemba 30, 2021, wakati wa mahojiano maalum na East Africa TV, na kusema kwamba hadi sasa serikali imeshatumia si chini ya bilioni 71 kwa ajili ya ujenzi wa mtandao huo.

"Sasa hivi tunajenga mtandao wa umeme mahususi kwa ajili ya uendeshaji wa Treni, hautaingiliana na matumizi mengine ili kuondoa risk ya umeme kukatika, na mpaka sasa tumetumia si chini ya bilioni 71 kujenga mtandao huo," amesema Mhandisi Masanja.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments