Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Uganda Kumekucha..Watuhumiwa 5 wa Mlipuko wa Bomu Kampala Wauawa na Polisi
Polisi wamewaua kwa risasi watuhumiwa watano na kuwakamata wengine 21, ikiwa ni sehemu ya uchunguzi wa milipuko miwili ya kujitoa mhanga iliyotokea mapema wiki hii na kupelekea vifo vya watu kadhaa
-
Milipuko iliyotokea Novemba 16, 2021 ni mwendelezo wa mashambulizi Nchini humo. #Uganda imeimarisha usalama na kuanzisha uchunguzi kuhusu milipuko hiyo, huku Rais Museveni akiapa kuwashinda Magaidi
-
Polisi wasema mashambulizi hayo ni kazi ya Magaidi wa ndani wanaohusishwa na Kundi la ADF kutokea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo)


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments