Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Ukweli Usiopingika Wanasimba Wana Mashaka na Timu yao Japo Wamepata Kocha Mpya
“Nafikiri mpaka sasa washabiki wa simba wana kitu kipya katika miyoyo yao, maana yake wana mashaka, kwa ujasiri mkubwa kila mmoja anaweza kusema kila kitu kipo sawa lakini katika kila nafsi ya mwanasimba kuna mashaka yameingia kutokana na mambo kadhaa kadhaa na mwenendo wa timu achilia mbali matokeo,

wanagubikwa na mashaka kutokana na mambo ya nje ya uwanja ya klabu kuliko yale ya ndani ya uwanja,” Mchambuzi wa SportsArena By George Job 

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments