Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Unaambiwa Mike Tyson Alikuwa Anafanya Mapenzi Kabla ya Kupigana Kuepuka Kumuua Mpinzani


Katika vitu ambavyo vinatajwa kuwa na uzito mkubwa ni ngumi ya bondia mstaafu Mike Tyson, inaarifiwa kwamba ilimbidi Tyson afanye mapenzi kabla ya kupanda ulingoni ili kuepuka kumuua mpinzani wake. Tyson ambaye alikuwa bondia wa uzito wa juu, aliwahi kuanika ukweli kwamba alikuwa na hofu kila akipanda ulingoni kwamba anaweza kumuua mpinzani anayekutana naye kutokana na kuwahi kuambiwa uzito wa ngumi yake.

Kwenye mahojiano na The Sun, dereva wake wa zamani aitwaye Rudy Gonzalez ametoka na kuzungumza kwamba ilimbidi Tyson awe anafanya mapenzi kwenye chumba cha kubadilishia nguo kabla ya kupanda ulingoni, la sivyo nguvu zake zingepelekea kuutoa uhai wa mpinzani wake. Hivyo kukutana kimwili na mwanamke kabla ya pambano ilikuwa kwa ajili ya kupunguza nguvu.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments