Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

UPDATE: Polisi Nchini Uganda Wamesema Milipuko iliyotokea Leo Ilitekelezwa na Watu Waliojitoa Mhanga


UPDATE: Polisi Nchini Uganda wamesema Milipuko iliyotokea katika Mji Mkuu #Kampala mapema leo ilitekelezwa na watu watatu waliojitoa mhanga, na walifariki papo hapo

Raia wengine watatu wamefariki dunia na 33 wamejeruhiwa, ikielezwa idadi ya vifo inaweza kuwa kubwa kuliko inayoripotiwa hivi sasa. Polisi wasema watu 5 miongoni mwa waliojeruhiwa wana hali mbaya

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments