Ticker

6/recent/ticker-posts

Utafiti wa TAKUKURU umetaja sababu za rushwa ya ngono vyuoni ni


Utafiti wa TAKUKURU umetaja sababu za rushwa ya ngono vyuoni ni:

1. Ukosefu wa maadili, 

2. Ushawishi wa mtu mwenye mamlaka 

3. Mfumo wa utoaji taarifa kutokuwa rafiki 

4. Mifumo dhaifu kushughulikia rushwa ya ngono, 

5. Mamlaka ya mitihani kuachwa chini ya walimu pekee

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments