Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Utafiti:Watu Warefu Hatarini Kupata Saratani na Wafupi Kupata Kisukari

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMtandao wa masuala ya kitabibu wa webMD.com umeonesha watu waliozidi urefu wa wastani (Wanaume sentimita 171 na 159 kwa Wanawake) wako katika hatari kubwa ya kupata #Saratani
-
Utafiti uliofanywa kwa Wanawake 100,000 Ulaya na Makerani ulionesha Wanawake wafupi wana kiwango kidogo cha kupata Saratani ya kizazi huku Wanaume wafupi wakiwa katika hatari ndogo ya kupata Tezi Dume
-
Hata hivyo, Watu warefu wameonesha kuwa katika hatari ndogo ya kupata Ugonjwa wa kisukari kuliko Watu wafupi.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments