Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Vibanda vya Coco Beach vinapendeza - Zitto

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe, ameusifia mradi wa kuendeleza ufukwe wa Coco, baada ya kutengenezwa vibanda vya kisasa katika eneo ambalo hufanyika biashara ya mihogo.


Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Zitto Kabwe, ameshauri kwamba katika kuendelea kuviboresha zaidi ni vyema ikawekwa nishati ya umeme wa jua."Hivi vibanda hapa Coco Beach vinapendeza, nataraji kuwa wahusika wamefikiria vema suala la nishati, ingependeza sana kama kungewekwa solar panels juu ya vibanda vyote, any company to consider CSR there?", ameandika Zitto Kabwe

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments