Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Wasanii Kibao Waungana Kumpa Pongezi Rayvanny Baada ya Kuperform MTV EMA Awards


Baadhi ya wasanii wa muziki wa BongoFleva kwa pamoja wameungana kumpongeza msanii mwenzaao @rayvanny ambae siku ya jana allindika historia ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Africa/Tanzania kutumbuiza katika jukwaa la utoaji tuzo za mtvemaa 2021 huko Budapest, nchini Hungary.

Wasanii hao wametumia kurasa zao rasmi za mitandao ya kijamii kutoa pongezi na kuonesha kukubali na kujivunia kile kilichofanywa na mwanamuziki huyo kutoka WcB Wasafi.

 @barnabaclassic, @mauasama, @johmakinitz, Pamoja Na @officialshilole Wametoa Pongezi Kwa @rayvanny 


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments