Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Wataalamu wa Afya za Watoto Marekani Wameshauri Wazazi Kutoruhusu Watoto Kutazama Series ya Squid Game

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Wataalamu wa afya za watoto nchini Marekani wameshauri wazazi kutoruhusu watoto kutazama series ya Squid Game kwa sababu ya kile wanachodai uwepo scenes nyingi za kutisha kupitia michezo iliyokua inafanyika.

Wanadai michezo iliyokua inafanyika ina vifo vya kutisha na kumbuka lengo kuu lilikua ni michezo ya kifo ambayo kwa mtoto inaweza kumtengenezea mentality mbaya kwa baadae.

Tembelea YouTube channel yetu pendwa ya Middle Simba ili kupata taarifa nyingi zaidi.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments