Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Wema Sepetu Atoa Povu Baada ya Watu Kumsema Kuwa Anaishi Mbagala


Muigizaji @wemasepetu Amewatolea Uvivu Watu Ambao Wanamsema Anaishi Mbagala Na Kwenda Mbali Zaidi Na Kutamani Kujua Kuna Shida Gani Mtu Kuishi Mbagala, #WEMA Amefunguka Hayo Alipokuwa Akifanya Mahojiano Na Kipindi Cha Refresh Cha Wasafi Tv.
-
-
#WEMA Amesema........"Tuseme Ningekua Naishi Mbagala Kweli Kwani Watu Ambao Wanaishi Mbagala Sio Binadamu? Au Hawafai? Au Hawatakiwi? Kwasababu Mbagala Pia Ni Sehemu Kama Sehemu Zingine, Wanaoishi Mbagala Sio Wanyama Wala Wadudu Ni Watu Kama Watu Wengine Na Mimi Nimesema Nilikua Nikiishi Kule Kwa Sababu Ya Karma, Kazi Ndio Ilinifanya Niishi Kule Nimemaliza Sina Tena Kitu Kinacho Nifanya Niishi Kule"

#SamMisagoTV

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments