Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Zitto Kabwe "Wakati wa Magufuli Tulidanganywa Hakuna Mgao wa Umeme"


"Wakati wa Magufuli wenye Viwanda walikuwa wanalazimishwa kusimmisha uzalishaji ili kupunguza Matumizi ya Umeme kwa lengo la kuonyesha kuwa hakuna mgawo.Taarifa za uzalishaji na mauzo ya umeme zipo wazi sana" @zittokabwe

"Ukweli usemwe awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika,miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya,sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani,hatujaogeza hata 1MW Kwa miaka 5" -@zittokabwe HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments