Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Ajali ya Shilole Yageuka Kuwa Kiki Mtandaoni

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Hivi kumbe Baada ya @officialshilole kupata Ajali, alipata na nguvu ya kurecord clip na kutupia mtandaoni. Hivi hii ilikuwa ajali kweli au masihara.

Sometimes mastar wajielewe, sio kila kitu cha kupost. Alipost ili aonewe huruma au alipost ili iweje. Kwanini asingevunga tu likapita.

Maana hata ukifatilia comments za wabongo utakuta ni mastar tu ndio Wanampa pole ila Wanazengo wanaleta mada nyingine kabisa, mara ipeleke Gari Service kwa Uchebe, Duh sasa uchebe anahusikaje hapo, au kisa ni fundi magari, wabongo noma sana.

Hii Clip ya Ajali imekaa kimchongo sana, watu walionusurika kwenye ajali nadhani mnaelewa, yani hakunaga kabisa nguvu ya kupost maana akili nzima huwa kama imelala unawaza tu, ningekufa ingekuwaje hapa.

Kama lengo la shilole lilikuwa ni kutrend basi kafanikiwa, maana kila Media imepost jambo hili. Haya tunasubiri ngoma mpya.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments