Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Anthony Diallo "Aliyesema Nchi Itapigwa Mnada Ametumia Lugha ya Kihuni"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo ametoa tamko kuhusiana na nchi kukopa, Diallo amesema huyo aliyesema Tanzania itapigwa mnada hakutumia lugha ya kiuongozi bali ametumia lugha ya kihuni na kwa sababu CCM ni chama kikubwa basi atanyooshwa ili arudi kwenye mstari.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments