Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Askari Aliyekataa Rushwa ya Shilingi Milioni 10 Ashushwa Cheo Kwa Utovu wa Nidhamu

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMeshack Samson anayefanya kazi Arusha alipandishwa Cheo kutoka Sajenti (Sgt) hadi Stesheni Sajenti (Ssgt) mwaka 2019 baada ya kukataa rushwa ya Tsh. Milioni 10

Askari huyo ameshushwa cheo kutokana na kutotii Mamlaka ya kwenda Kozi ya Kipolisi kuendana na Cheo alichopewa, ikielezwa hakuwa na sababu za msingi kukataa kufanya hivyo

Ameshushwa ngazi moja kutoka Stesheni Sajenti kuwa Sajenti wa Polisi baada ya kushtakiwa na kupatikana na hatia ya utovu wa nidhamu kwa kukataa amri halali ya Mkuu wa Jeshi la Polisi


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments