Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Baada ya Kuachana na Diamond, Director Kenny Atangaza Kufungua Kampuni yake

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mwongozaji maarufu wa video za za muziki nchini #DirectorKenny anatarajia kufungua kampuni yake mpya ya video hivi karibuni.

Kenny ambaye ameshaziongoza video za muziki kama 'Waah' na nyingine nyingi za mastaa wakubwa nchini, ame-share taarifa hii kupitia insta story yake.

Kenny amepost BANGO la Kampuni yake hiyo ambalo limebeba kifupi cha utambulisho wake 'DK Limited' - Director Kenny.

Hii ni hatua nyingine kubwa kwa #Kenny tangu ajiengue kwenye kampuni ya Zoom Extra.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments