Ticker

6/recent/ticker-posts

Barbara Kuhoji Mkataba wa GSM Yupo Sahihi




“Wadau wanahitaji kufahamu juu ya kilichopo kwenye mkataba huu, kwa nini uwazuie watu wasijue kilichopo kwenye mkataba, haiwezekani, ndiyo maana asilimia kubwa ya timu za Ligi Kuu Bara hazikuudhuria siku ya utiaji saini kwa sababu inaonyesha hakuna uwazi kwenye hili.

“Barbara na Simba hawajakataa udhamini bali anataka kufahamu juu ya kilichopo kwenye huo mkataba, uwazi unahitajika kwenye mkataba na si vinginevyo.

“Hata kanuni ziko wazi kwamba mdhamini mkuu ndiye anayetakiwa akae kwenye kwenye mkono wa kulia.

“Tuache kupiga mark time tuendeshe shughuli za mpira kwa uwazi tuache janja janja kila kukicha.

Maoni ya mchambuzi wa #thescoreboard @inno_valentino juu ya hoja za CEO wa @simbasctanzania, Barbara Gonzalez juu ya mkataba wa GSM na TFF.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments