Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Bifu la Tanasha Dona na Zari Usipime, Tanasha Afunguka "Simpendi Siwezi Muongelea Hata Kidogo"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Tanasha Donna Oketch ameshindwa kujificha kwa kuweka wazi kuwa yeye na Zari 'The Boss Lady' hawako sawa.

Moja ya mahojiano na chombo cha habari huko nchini Kenya, Tanasha ambaye ni mzazi mwenza na msanii maarufu #DiamondPlatnumz ameweka waziwazi bifu lake dhidi ya Zari kuwa hampendi na hataweza kuzungumza mambo yake.

Aliulizwa kuhusu uhusiano wake na mzazi mwenza wa #diamondplatnumz , mwanamitindo Hamisa Mobeto, Tanasha akasema:

"#Mobeto anafanya kazi na anajua sana katika tasnia ya mitindo.

Tanasha alikataa kumzungumzia Zari, na akidai hana muda wa kuzungumza mambo ya mtu ambaye hawaendani.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments