Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Bondia Mike Tyson Akubali Kuwa Balozi wa Bangi Malawi

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Bondia mstaafu Mike Tyson amekubali ofa kutoka serikali ya nchi ya Malawi, iliyomuomba kuwa balozi wao wa kilimo cha bangi.

Mapema Mwezi November mwaka huu serikali ya Malawi ilitangaza kutuma barua ya maombi kwa Tyson kuwa balozi wa bangi katika nchi hiyo.
Tyson ni moja ya watu maarufu Duniani waliowekeza katika ulimaji wa bangi nchini Marekani.

✍🏾@keviiiy.iam


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments