Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Burna Boy na Wizkid Kutupiga na Kitu Kizito Usiku wa Leo....

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREKwenye usiku wa pili wa tamasha la @wizkidayo pale o2 Arena alimpandisha @burnaboygram kwenye steji na kutuupdate kuwa kuna chupa lao jipya wanalidondosha hivi karibuni.

Hasa kupitia ukurasa rasmi wa taarifa za msanii Wizkid, @wizkidnews imetoka taarifa wimbo huu kuachiwa usiku wa leo,saa mbili kwa muda wa Afrika Mashariki na jioni kwa Muda wa Uingereza. Wimbo unaitwa Ballon D'or na unakuwa ni wimbo wao wa pili baada ya kukutana kwa mara ya kwanza kwenye wimbo wa Ginger wa kwake Wizkid unaopatika kwenye albamu ya Made in Lagis.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments