Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Chama Aaga Morocco, Akwea Pipa

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREKiungo kutoka nchini Zambia, Clatous Chotta Chama, @realclatouschama ameposti kwenye akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram akieleza kuwa anaondoka nchini Morocco na kuwa anakwenda nyumbani.

Chama, kiungo wa zamani wa Simba ambaye amekuwa akitajwa kuwa katika mipango ya kurejea klabuni hapo, hajaweka wazi juu ya safari yake hiyo kama anaelekea Zambia au anarudi Simba.

Kiungo huyo anaichezea RS Berkane lakini kumekuwa na taarifa zisizo rasmi kuwa hana furaha kikosini hapo kutokana na kutokuwa na uhakika wa namba na mazingira ikiwemo chakula kutokuwa mazuri kwake.

Unamshauri nini Chama arudi Simba au aendelee kukomaa Morocco?

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments